
Ushindi wa Namungo kwa JKU, waibeba City FC Abuja
KITENDO cha Namungo FC kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKU katika mashindano ya Tanzanite Pre-Season Tournament si tu imeifanya timu hiyo kufuzu nusu fainali, bali pia imeibeba City FC Abuja. Ipo hivi; Kabla ya mchezo huo wa Kundi C kuchezwa leo Septemba 5, 2025 kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani…