NRA yaja na ‘Mobile Campaign’ ikijiandaa kwa uzinduzi
Dar es Salaam. Baada ya kuwa nyuma ya ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa siku ya saba mfululizo, Chama cha NRA kimeamua kufanya ‘mobile campaign’ kikieleza lengo la mfumo wake huo wa kampeni ni kuwapa mbinu wagombea wake na kujiweka karibu zaidi na wananchi kabla ya uzinduzi rasmi. Chama hicho, leo…