Nyaishozi Mfano wa shule Bora zinazotangaza ushirika kielimu

Na Diana Byera,Karagwe Wamiliki wa shule binafsi wilayani Karagwe, mkoani Kagera, wametakiwa kuzingatia lengo kuu la kuanzisha shule,ambalo ni kutoa huduma ya elimu badala ya kuzigeuza shule hizo kuwa chanzo cha biashara na faida kubwa.  Wito huo umetolewa kufuatia ongezeko la malalamiko kutoka kwa jamii kuhusu gharama kubwa na michango mingi isiyoelezeka katika baadhi ya…

Read More

Nangu, Yakoub wapata warithi jeshini

BAADA ya JKT Tanzania kutangaza kuachana na kipa Yakoub Suleiman na beki Wilson Nangu waliojiunga na Simba, kocha wa timu hiyo, Ahmad Ally amesema ameshapata mbadala wao. Nangu na Yakoub wamesajiliwa Simba kila mmoja akisaini mkataba wa miaka mitatu, jambo ambalo Ally limemfurahisha akiona kwamba vijana wake wamewapa heshima kubwa JKT Tanzania. Alisema katika nafasi…

Read More

Mtumbuka: Ni muda wa kung’ara Tanzania Prisons

BAADA ya kushindwa kung’ara msimu uliopita akiwa na kikosi cha Mashujaa, winga Emmanuel Mtumbuka amesema ni wakati wa kufanya vizuri na kuonyesha uwezo wake baada ya kutimkia Tanzania Prisons ya Mbeya. Mtumbuka aliyedumu Mashujaa kwa mwaka mmoja baada ya kujiunga nayo msimu uliopita akitokea Stand United ya Shinyanga, alishindwa kupata uhakika wa namba na sasa…

Read More

Gamondi autaka ubingwa Cecafa Kagame Cup

KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi ametangaza kuwa lengo kubwa kwenye michuano ya Cecafa Kagame Cup 2025 ni kuipa timu yake ubingwa akiitumia pia kama sehemu ya maandalizi ya mashindano ya kimataifa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara. Gamondi, aliyewahi kuinoa Yanga, ameanza jana, Jumanne safari yake na Singida kwenye mchezo wa Kundi…

Read More

Bado Watatu – 17

“HEBU eleza tukio lilivyotokea.” Akaniambia kwamba yeye alikuwa muuguzi wa hospitali ya Bombo ambayo ni ya mkoa. Jana yake alikuwa na zamu ya kulala kazini. Lakini aliporudi asubuhi kutoka kazini akakuta wezi wameruka ukuta na kuvunja mlango wa nyuma na kumuibia vitu kadhaa. “Unasema waliruka ukuta wakavunja mlango wa nyuma?” “Ndiyo.” “Wameiba nini?” “Labda niseme…

Read More

Folz ana jambo lake Yanga

YANGA wameliamsha wakianza rasmi leo safari kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi, lakini kule kambini Kocha Romain Folz akipunguza dozi kidogo huku mastaa wa timu hiyo wakipelekwa kambi moja ya jeshi. Takriban wiki mbili nyuma kule kambini, Yanga ilikuwa ni mwendo wa dozi kali za mazoezi yakifanyika mara mbili kwa siku – kama sio kuanzia…

Read More

APR, Bumamuru katika mechi ya mtego

MIAMBA ya soka la Rwanda, APR itatupa karata yao ya kwanza leo, Jumatano kwenye mashindano ya Kombe la CACAFA Kagame 2025 ambayo yalianza jana,Jumanne kwa kucheza dhidi ya Bumamuru FC ya Burundi huku ikiwa na hesabu ya kutwaa kombe hilo kwa mara ya nne. APR ni miongoni mwa klabu zilizofanikiwa zaidi kwenye Ligi ya Rwanda…

Read More

Benchikha afungua ‘CODE’ za beki Simba

SIMBA imerudi mazoezini ikiendelea kujipanga hapa nchini, lakini kuna kocha mmoja aliyewahi kuinoa timu hiyo ameshtuka aliposikia usajili wa mido mmoja akisema pale Msimbazi wamepata kamanda matata uwanjani. Kocha aliyezungumza hayo ni Abdelhak Benchikha, ameshtuka kusikia kiungo Alassane Kante amesajiliwa na timu hiyo kisha akakumbuka fasta ilikuwa afanye kazi na Msenegali huyo akiwa Misri. Benchikha…

Read More

Uchaguzi ni kama dabi ya Kariakoo

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 unakuja kwa kasi, na kama kawaida. Maandalizi yamejaa maneno, porojo na hekaya za kila namna. Mtaani tunapishana na mabango, bendera, fulana, khanga na kofia za wagombea. Kwa kawaida kampeni ni kachumbari ya uchaguzi. Kila chama kikipiga tantalila zake, kila mwanasiasa akijiona kuwa staa wa siasa. Na wapiga kura wanamshangilia kama…

Read More