Simba na rekodi ya ajabu Cecafa Kagame Cup
LICHA ya kutoshiriki fainali za Cecafa Kagame 2025, Simba inashikilia rekodi mbili kwa wakati mmoja ikiwa ni timu iliyotwaa mataji mengi zaidi na ndiyo iliyopoteza mechi nyingi zaidi za fainali katika mashindano hayo. Wekundu hao wa Msimbazi wametwaa taji mara sita miaka ya 1974, 1991, 1992, 1995, 1996 na 2002 na kuwafanya kuwa timu yenye…