Kocha Fountain Gate Princess azitaka Simba, Yanga
KOCHA wa Fountain Gate Princess, Noah Kanyanga amesema mikakati ya timu hiyo ni kuhakikisha inarudi kwenye makali yake na kupambania ubingwa mbele ya vigogo Simba Queens na Yanga Princess. Kanyanga aliwahi kuzifundisha Ceasiaa Queens, Mburahati Queens, Gets Program na sasa Fountain Gate aliyoanza nayo mwishoni mwa msimu uliopita. Akizungumza na Mwanaspoti, alisema msimu uliopita haukuwa…