
Wengi tunaugua maradhi ya kujitakia
Dar es Salaam. Dunia ya sasa inakumbwa na changamoto kubwa ya maradhi yasiyoambukiza, kama vile kisukari, shinikizo la damu, saratani, na magonjwa ya moyo. Tofauti na magonjwa ya kuambukiza ambayo mara nyingi hutokana na vijidudu, vimelea au maambukizi ya moja kwa moja, magonjwa haya mengi kwa kiasi kikubwa yanatokana na mtindo wa maisha usio sahihi….