Ajibu ajifunga mwaka mmoja KMC
KIKOSI cha KMC kinachonolewa kwa sasa na kocha wa zamani wa Taifa Stars na Yanga, Marcio Maximo, kimezidi kuimarishwa katika eneo la ushambuliaji baada ya kumsajili kwa mkataba wa mwaka mmoja, Ibrahim Ajibu aliyekuwa akiitumikia Dododma Jiji. Kiungo mshambuliaji huyo wa zamani wa Simba, Yanga, Azam na Singida Big Stars kwa msimu uliopita akiwa na…