BoT yakusanya tani tano za dhahabu kutoka MPMR
Mwanza. Kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu Mwanza Precious Metals Refinery (MPMR) kilichopo jijini Mwanza, kimefanikiwa kukusanya tani tano za madini ya dhahabu kwa kipindi cha mwaka mmoja, na kuendelea kuipaisha Tanzania katika sekta ya madini kwa ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza leo Septemba 27, 2025 na ujumbe kutoka Malawi, Ofisa Madini kutoka mkoani Mwanza…