Manyama ajiweka sawa Azam | Mwanaspoti
BEKI wa kushoto wa Azam FC, Edward Manyama amesema kwa namna Ligi Kuu Bara msimu huu ilivyoanza kwa ugumu, inampa picha ya namna anavyotakiwa kukaza buti kuhakikisha huduma yake inakuwa muhimu kikosini.Manyama aliyewahi kuzichezea timu mbalimbali kama JKT Ruvu, Yanga, Ruvu Shooting, Namungo na Singida Black Stars, alisema ushindani wa ligi umekuwa ukiongezeka msimu hadi…