
TRA yazindua ofisi za dawati maalumu kuwezesha wafanyabiashara kiuchumi
Bukoba. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mkoa Kagera wamezindua ofisi ya dawati maalumu la kuwawezesha wafanyabiashara kiuchumi. Akizungumza katika uzinduzi wa ofisa ya dawati maalamu la TRA la kusikiliza, kutambua na kuwezesha wafanyabiashara leo Septemba 3, 2025 kwenye ofisi za mamlaka hiyo. Mkuu wa Mkoa Kagera, Fatma Mwassa ametoa wito kwa Watanzania kutumia dawati hilo…