
Tabora Utd yaitaka nafasi ya Singida BS
ZIKIWA zimesalia takribani wiki mbili kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-26, uongozi wa Tabora United umesema inataka timu kufanya vizuri zaidi ili kumaliza ligi ndani ya nafasi nne za juu kwenye msimamo tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita. Timu hiyo msimu uliopita ilimaliza katika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu…