
UAE yashutumu mpango wa Israel kupora Ukingo wa Magharibi – Global Publishers
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umeionya Israel kwamba mpango wa kutwaa kwa mabavu maeneo ya Ukingo wa Magharibi utavunja mipaka na kudhoofisha ari ya Mkataba wa Abraham, uliorejesha uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili mwaka 2020. Afisa Mkuu wa Imarati katika Umoja wa Mataifa, Lana Nusseibeh, amesema hatua hiyo…