Wanahabari wakumbushwa kufanya kazi kwa weledi wakati wa uchaguzi
Tanga. Waandishi wa habari mkoani Tanga wameshauriwa kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia kanuni kwenye kazi zao hasa kipindi hiki cha uchaguzi ili kujiepusha kuingia kwenye malumbano na vyombo vya dola wakiwa kwenye majukumu yao. Akizungumza kwenye mdahalo wa ulinzi na usalama kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Tanga kuelekea uchaguzi mkuu, uliofanyika leo…