Fundi wa boli Fountain gate ala kiapo
KIUNGO fundi wa mpira wa Fountain Gate, Elie Mokono aliyeisumbua ngome ya Simba jana usiku kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara amekula kiapo akisema anaamini kikosi chao kitarejea katika mwenendo mzuri kama ilivyokuwa mwanzoni mwa 2024/25. Fountain Gate iliyolazimika kuivaa Simba ikiwa na wachezaji 13 na kupasuka kwa mabao 3-0 awali ilianza msimu kwa kuchapwa…