
UVCCM CHATO WATAKA WANASHERIA KUKEMEA UPOTOSHAJI DHIDI YA RAIS SAMIA
Wa pili kutoka kulia ni mwanasheria wa UVCCM wilaya ya Chato, Yohana Misungwi,akitoa tamko kwa niaba ya Jumuia hiyo. ………. UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Chato mkoani Geita umewataka wanasheria na wazee wastaafu wa Chama hicho kujitokeza hadharani kukemea upotoshwaji mkubwa unaofanywa na baadhi ya wanachama wa Chama hicho wanaodai…