Imbeju yatoa mikopo ya shilingi milioni 555.6 kwa wajasiriamali Kigoma
Programu ya Imbeju inayotekelezwa na Taasisi ya CRDB Bank Foundation imetoa zaidi ya shilingi milioni 555.6 kwa vikundi 58 vya wajasiliamali mkoani Kigoma. Mikopo hiyo itokanayo na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri imekabidhiwa na Mkuu wa Wilaya Kigoma, Dkt. Rashid Chuachua akiwa sambamba na Meneja Mwandamizi wa Uwezeshaji wa CRDB Bank Foundation,…