Coastal Union tatizo lipo hapa tu!
BAADA ya kukusanya pointi tatu na mabao mawili katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara, Kocha wa Coastal Union, Ally Ameir amesema licha ya kuwa na kikosi kizuri, tatizo lipo eneo la ushambuliaji na anatumia muda uliosalia kurekebisha tatizo kabla ya kuvaana na Dodoma Jiji. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara mwaka 1988 ilianza na…