DK.SAMIA:ANAKWAMBIA ATALETA MAJI KWANI SIKU ZOTE ALIKUWA WAPI?
*Mwingine anasema atatoa elimu bure…kwani CCM hatujatoa ? Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Lindi MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema kwamba hakuna chama kitakachoweza kwa sasa hivi kulinda na kuinua utu wa Mtanzania kama kama Chama hicho. Dk.Samia ametoa kauli hiyo leo Septemba 25,2025 alipokuwa akihutubia mamia ya wananchi…