Askofu Mkuu Rugambwa anavyokumbukwa Vatican
Dar es Salaam. Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Vatican, ameongoza misa ya kumuombea na kumuaga, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Kwa mujibu wa mtandao wa habari wa Vatican, vilevile walikuwapo Askofu Mkuu Msaidizi wa Vatican, Edigar Pena Para, maaskofu wakuu, maaskofu na mapadri katika misa hiyo iliyoadhimishwa leo…