Serikali kujadili utitiri wa tozo kwenye zao la parachichi Njombe
Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema atakutana na halmashauri zote za mkoa huo kujadili na kuondoa tozo na ushuru ambao umekuwa kero kwa wakulima. Hatua hiyo inatokana na malalamiko ya wakulima…