Saba waunganishwa kesi bosi wa Jatu, wasomewa mashtaka 37
Dar es Salaam. Watu saba sambamba na kampuni ya Jatu Public Limited, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 37 yakiwamo ya ubadhilifu wa fedha, kutakatisha fedha na kuisababishia hasara Jatu Saccos ya Sh3.149 bilioni. Katika mashtaka hayo 37, 32 yanaikabili kampuni ya Jatu Public Limited ambayo ni kutakatisha fedha kwa kujipatia…