ZAHANATI TATU MPYA KUANZA KUTOA HUDUMA HANDENI MJI
Na Augusta Njoji, Handeni TC HALMASHAURI ya Mji Handeni, mkoani Tanga, imejipanga kuwaondolea adha ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya wananchi, baada ya zahanati tatu mpya kukamilika na kutarajiwa kuanza kutoa huduma mwezi Oktoba mwaka huu. Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Maryam Ukwaju, amesema ujenzi wa zahanati hizo umefanikishwa na serikali kwa kushirikiana na…