
Samia aahidi kumaliza foleni Tunduma, ataja ujenzi wa barabara za njia nne
Tunduma. Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kumaliza tatizo la msongamano wa magari katika mji wa Tunduma kupitia mradi wa upanuzi wa barabara ya Tanzam. Samia amebainisha hayo leo, Septemba 3, 2025, wakati wa mkutano wa kampeni alioufanya mjini Tunduma, mkoani Songwe, ikiwa ni siku ya kwanza ya kampeni zake…