
NYENZO YA UTEKELEZAJI WA SERA YA MAENDELEO YA WATOTO IMEPATIKANA
“Programu hii ni muhimu sana kwa kuwa unajikita katika kuhakikisha kila mtoto wa Kizanzibari anapata malezi bora, afya njema, lishe inayostahiki, ulinzi, na fursa ya kujifunza katika hatua za awali za maisha yake” Amesema Abeida. Akizungumza katika kikao kazi hicho, Mtalaam wa Hifadhi ya Mtoto kutoka UNICEF ndugu Ahmed Rashid Ali amesema kuna umuhimu mkubwa…