ABBAS MWINYI, KAKA WA RAIS WA ZANZIBAR DR. HUSSEIN MWINYI, AMEFARIKI DUNIA.
Marehemu alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia CCM na aliwahi pia kuwa Mbunge wa jimbo hilo kabla. Taarifa zaidi tutakuletea kadri tutakavyokuwa tunazipata kupitia mwandishi wetu aliyepo Zanzibar