
Tuwajenge watoto kupenda elimu tangu utotoni
Dar es Salaam. Katika jamii yoyote ile elimu ni silaha muhimu ya kuleta mabadiliko ya kweli. Kupitia elimu, mtu anaweza kufikia ndoto zake, kuibadilisha familia yake, na hata kulibadili taifa zima. Hali hii inaleta umuhimu wa kumjenga mtoto kupenda elimu tangu akiwa mdogo. Ni jambo lisilopingika kwamba mapenzi ya elimu hayaanzi tu ghafla mtoto anapofikia…