Hukumu rufaa kesi ya Nyundo na wenzake kusomwa leo
Dodoma. Hukumu ya kesi ya rufaa waliyoikata Nyundo na wenzake watatu ya kupinga kifungo cha maisha gerezani inatarajiwa kutolewa kesho Septemba 25, 2025 kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Nyundo na wenzake watatu walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma kuwakuta na hatia kwenye mashtaka yaliyokuwa yanawakabili ya kubaka kwa…