DKT.SAMIA AWAPONGEZA RUANGWA KWA KUWA NA UWANJA WA KISASA WA MAJALIWA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Lindi MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewapongeza wananchi wa Wilaya ya Ruangwa wakiongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa kuwa na Uwanja wa mpira mkubwa na wa kisasa. Dk.Samia ametoa pongezi hizo leo Septemba 24,2025 alipokuwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Madini wilayani Lindi ambapo…