
Petroli, dizeli zaendelea kushuka, mafuta ya taa yaongezeka
Dar es Salaam. Ahueni inaendelea kushuhudiwa kwa watumiaji wa vyombo vya moto nchini baada ya bei za petroli na dizeli kuendelea kushuka kwa mwezi wa tano mfululizo huku watumiaji wa mafuta ya taa wakiugulia maumivu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei kikomo za…