
APR, Bumamuru katika mechi ya mtego
MIAMBA ya soka la Rwanda, APR itatupa karata yao ya kwanza leo, Jumatano kwenye mashindano ya Kombe la CACAFA Kagame 2025 ambayo yalianza jana,Jumanne kwa kucheza dhidi ya Bumamuru FC ya Burundi huku ikiwa na hesabu ya kutwaa kombe hilo kwa mara ya nne. APR ni miongoni mwa klabu zilizofanikiwa zaidi kwenye Ligi ya Rwanda…