Maximo akomalia mastraika KMC | Mwanaspoti
KICHAPO cha bao 1-0 ilichopewa KMC katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Singida Black Stars, kimemuamsha kocha wa timu hiyo, Mbrazili Marcio Maximo akisema changamoto kubwa iliyowagharimu ni katika eneo la safu ya ushambuliaji. Akizungumza na Mwanaspoti jijini Dar es Salaam baada ya mechi hiyo, Maximo alisema eneo la ushambuliaji lilikosa mabao mengi kutokana…