
Elimu matumizi ya nishati safi yabamba kwenye masoko na daladala, wananchi walia gharama
Dodoma. Kampeni ya matumizi ya nishati safi ya kupikia katika Jiji la Dodoma imehamia kwenye masoko na vituo vya daladala ili kuwafikia watu wengi zaidi, ingawa wananchi bado wanalia na gharama kubwa za ununuzi wa majiko ya kisasa. Kutumia nishati safi ya kupikia ni kampeni ya Serikali inayolenga kupunguza uharibifu wa mazingira na kuepuka madhara…