Salum Mwalimu aahidi Tanzania ya ‘maziwa na asali’

Tanga. Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amewaomba Watanzania kumchagua kwa kishindo ifikapo Jumatano Oktoba 29, 2025, ili alitengeze taifa lenye ustawi na neema, akiahidi kuigeuza Tanzania kuwa “nchi ya maziwa na asali’ iwapo atapewa ridhaa ya kuingia Ikulu. Akihutubia wakazi wa Muheza katika viwanja vya Madaba, jijini Tanga kwenye…

Read More

Zombie Apocalypse Na Promosheni Kubwa kwa Wapenzi wa Kasino

KASINO ni burudani, lakini Meridianbet imeamua kugeuza burudani hiyo kuwa sherehe ya kipekee. Ikiwa unatafuta furaha, basi Happy Hour Zombie Apocalypse Free Spins ni tiketi yako ya kuingia kwenye ulimwengu wa michezo ya kasino kwa ucheshi na zawadi. Kila Jumanne na Alhamisi, watumiaji wa Meridianbet wanapewa nafasi ya kushinda mizunguko ya bure kwenye mchezo maarufu…

Read More

Gamondi: Kwa Aucho, Chama subirini muone

SINGIDA Black Stars leo usiku inaanza kampeni ya kusaka taji la kwanza msimu huu itakapovaana na Coffee ya Ethiopia katika michuano ya Kombe la Kagame, huku kocha mkuu Miguel Gamondi akiwataja mastaa watatu wa zamani wa Yanga. Gamondi amesema uwepo kwa Khalid Aucho, Clatous Chama na Nickson Kibabage utamsaidia katika mechi kubwa za ndani na…

Read More

Namungo, City FC Abuja hakuna mbabe

MCHEZO wa Kundi C katika michuano ya Tanzanite Pre-Season International baina ya Namungo ya Tanzania Bara na City FC Abuja kutoka Nigeria, umemalizika kwa sare ya bao 1-1. Mshambuliaji wa Namungo, Heritier Makambo alifunga bao la mapema dakika ya tatu kwa ustadi mkubwa kufuatia pasi ya Abdulaziz Shahame. Bao hilo liliwafanya wachezaji wa Namungo kucheza…

Read More

Ahadi hewa safari za Mwendokasi Mbagala zaibua mjadala

Dar es Salaam. Baada ya huduma ya mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) katika barabara ya Mbagala kukwama kuanza leo kama ilivyoahidiwa awali na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), wachumi na wadau mbalimbali wamejitokeza kutoa malalamiko pamoja na ushauri wa nini kifanyike ili huduma hiyo ianze kutekelezwa. Akieleza sababu ya kushindwa kutimiza ahadi hiyo, alipozungumza na…

Read More

JKU yaiadhibu TDS, Hamza aking’ara

JKU ya Zanzibar imeanza vizuri mashindano ya Tanzanite Pre-Season International baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Mchezo huo wa Kundi C uliochezwa leo Septemba Mosi, 2025 kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, mshambuliaji wa JKU, Koffy Hamza ndiye aliyepeleka kilio kwa TDS. Hamza alianza kuifungia JKU dakika ya tano kufuatia…

Read More

Wanawake waongoza mikopo kidijitali | Mwananchi

Dar es Salaam. Kwa mara ya kwanza nchini, wanawake wanamiliki akaunti za mikopo ya kidijitali nyingi zaidi kuliko wanaume, jambo linalowafanya kuwa wakopaji wakuu katika sekta ya teknolojia ya fedha inayokua kwa kasi. Takwimu mpya kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Ofisi za Taarifa za Wakopaji (Credit Reference Bureaus) zinaonesha idadi ya akaunti za…

Read More

Dk Nchimbi awaahidi makubwa Simiyu, wananchi wataka utekelezaji

Busega. Wakati mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi akiwaahidi wana Busega, mkoani Simiyu miradi mbalimbali, wananchi nao wamekitaka chama hicho kuzitekeleza kwa vitendo. Wamesema kuahidi ni jambo moja na kuzitekeleza ni suala jingine, hivyo mgombea Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wanapaswa kuhakikisha ahadi hizo zinatekelezwa ndani ya miaka…

Read More

Ismail Mgunda hana presha Mashujaa

BAADA ya mshambuliaji wa Mashujaa, Ismail Mgunda kurejea kucheza Ligi Kuu Bara amesema anatamani kutajwa katika orodha ya wafungaji wenye mabao mengi msimu unaoanza Septemba 17. Mgunda katikati ya msimu uliyopita aliondoka Mashujaa akiwa amefunga mabao mawili kwenda kujiunga na AS Vita ya DR Congo ambako hata hivyo hakufanikiwa kutimiza ndoto kwa kile alichokitaja ni…

Read More

Daraja jipya laibua kicheko kwa wasafiri, madereva

Kibaha. Wananchi, madereva na wasafirishaji waliokuwa wakikumbwa na changamoto kubwa ya usafiri kila msimu wa mvua eneo la bonde la maji, Ruvu, Kibaha mkoani Pwani, sasa wamefurahi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja jipya la mita tano lenye thamani ya Sh1.5 bilioni. Kwa miaka mingi, eneo hilo lilikuwa kikwazo kikubwa kwa usafiri, kwa sababu…

Read More