Kocha Tanzania Prisons atoa siku saba

ACHANA na ushindi wa kwanza walioupata Tanzania Prisons, kocha mkuu wa timu hiyo, Zedekiah Otieno amesema anahitaji kuona mastraika wa timu hiyo wanaonyesha makali na ametoa muda wa siku saba kwa mastaa hao kabla ya kurudi kambini kujiandaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Bara. Prisons ilianza vibaya Ligi Kuu msimu huu baada ya kupoteza…

Read More

Munthari awatahadharisha Diara, Camara Ligi Kuu Bara

KIPA wa Mashujaa, Patrick Munthari aliyemaliza na clean sheets 14 msimu uliyopita, amesema pamoja na kuwakubali Yona Amosi wa Pamba Jiji na Djigui Diarra wa Yanga akiwataja kama makipa wenye akili kubwa katika kulinda lango, anapigia hesabu kuweka rekodi mpya msimu huu. Munthari aliyekuwa mshambuliaji enzi akicheza michuano ya Copa Cocacola kabla ya kugeukia ukipa…

Read More

Siku tatu zamtosha Mgunda kuikabili Simba

KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda, amesema kikosi chake kipo tayari kukabiliana na Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa kesho Oktoba 1, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, saa 2:15 usiku. Mgunda amesema siku tatu walizokuwa jijini Dar es Salaam wamefanya maandalizi kuhakikisha wanapata matokeo mazuri licha ya kukutana na…

Read More

Arajiga, Mkono kuchezesha Cape Verde v Eswatini

Marefa wanne wa Tanzania wamepangwa kuchezesha mechi inayoweza kuwa ya uamuzi katika mashindano ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 baina ya Cape Verde na Eswatini. Waamuzi hao ni Ahmed Arajiga, Mohamed Mkono, Hamdani Saidi na Nasir Siyah. Katika mchezo huo, Arajiga atakuwa refa wa kati huku Mohamed Mkono akiwa mwamuzi msaidizi namba moja na…

Read More

Kauli za mamlaka za Serikali hofu ya nyanya zenye dawa kukutwa sokoni

Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Kilimo na Viwanda na Biashara, zimewasisitiza wakulima kufuata kanuni sahihi za kilimo zilipozungumzia kuhusu taarifa za uwepo wa nyanya sokoni zenye mabaki ya viuatilifu. Septemba 29, 2025 Mwananchi liliripoti uwapo wa nyanya zenye mabaki ya viuatilifu sokoni, huku wakulima na wafanyabishara wakisema uwepo wake husaidia isipondeke, kuharibika na kukaa…

Read More

TFF yatangaza rasmi uchaguzi wa Bodi ya Ligi Kuu

KAMATI ya uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza rasmi kuwa uchaguzi mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara  (TPLB) utafanyika Novemba 29, 2025 jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa kidemokrasia unaolenga kuhakikisha usimamizi wa mashindano makubwa ya soka nchini unakuwa na viongozi wenye uwezo, uzoefu…

Read More