Mgombea ubunge aahidi benki ya wafugaji Ngorongoro
Ngorongoro. Mgombea ubunge wa Jimbo la Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yannick Ndoinyo, ameahidi kuanzisha benki ya wafugaji endapo atachaguliwa, ili kuwawezesha wakazi wa eneo hilo hasa wafugaji kupata huduma za kifedha kwa urahisi, ikiwemo mikopo yenye masharti nafuu. Mbali na hilo pia ameahidi kuanzisha kiwanda cha kusindika nyama ili wafugaji hao waweze kunufaika…