
Kamwe amjibu Fadlu, awataja Pacome, Nzengeli
Ulisikia kocha wa Simba, Fadlu Davids akidai kwamba kikosi chake kinakosa mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kuamua mechi akitumia neno X- factor? Basi Yanga imemjibu. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amemjibu Fadlu kiaina akisema timu yao wala haina shida na wachezaji wenye ubora huo. Kamwe amesema Yanga ina wachezaji wengi wenye…