
DAWASA yadhibiti mivujo ya maji Bagamoyo
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kupitia Mkoa wa Kihuduma Chalinze imedhibiti mivujo ya maji katika maeo ya Kiwangwa, Mwavi na Mwetemo wilayani Bagamoyo. Akizungumzia kazi hiyo, Kaimu Meneja wa Mkoa wa Kihuduma Chalinze, Mhandisi Hafidhi Mketo amesema udhibiti huo umefanyika katika mabomba ya nchi 3′, 2′ na moja 1…