
NI ZAMU YA SONGWE KESHO SEPTEMBA 3, MGOMBEA URAIS CCM RAIS SAMIA KUHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Songwe NI zamu ya Songwe kesho Septemba 3,hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea kwani mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya mikutano mikubwa ya kampeni mkoani Songwe. Msafara wa Rais Dk. Samia unatarajiwa kuwasili leo kisha kuhutubia maelfu ya wananchi wa katika mikutano yake ya kampeni itakayofanyika…