
Serikali yakata mishahara ya wabunge kutuliza waandamanaji
Jakarta. Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo. Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia, ukiwemo mji mkuu, Jakarta, ulioshuhudia mamia ya waandamanaji wanaoipinga serikali. Maandamano hayo yamesababisha…