
Jalada kesi ya bosi wa Jatu, linapitiwa na kusomwa upya
Dar es Salaam. Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa jalada la kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), linapitiwa na kusomwa na timu kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka( NPS), makao makuu Dodoma. Baada ya kupitiwa na kusomwa upya kwa jalada hilo, timu hiyo italitolea…