Wacolombia Azam FC wajiandaa kutua KMC

MABOSI wa KMC FC wako katika mazungumzo ya kukamilisha usajili wa nyota wawili wa Azam FC Wacolombia, kiungo, Ever Meza na mshambuliaji wa timu hiyo, Jhonier Blanco ambao wamekuwa pia hawana wakati mzuri tangu walipojiunga na kikosi hicho. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata, zinaeleza Azam inaweza kuwatoa nyota hao kutokana na kuwa na nafasi finyu ya…

Read More

Ijue sayansi ya malezi ulee watoto sio kuwafuga

Malezi na makuzi ya mtoto ni jukumu kubwa na la msingi kwa mzazi. Katika ulimwengu wa sasa, ambapo changamoto za kijamii na kiteknolojia zimekuwa nyingi, wazazi wanapaswa kujikita zaidi katika kuzingatia sayansi ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto. Hii ni kwa sababu hatua za awali za maisha ya mtoto huunda msingi wa…

Read More

NMB kupiga jeki Utalii nchini

  Arusha. Benki ya NMB imewahakikishia wafanyabiashara wakubwa mkoani Arusha ushirikiano wa karibu zaidi katika kukuza shughuli zao, hususan sekta ya utalii, ili kuongeza ufanisi wa kibiashara, mapato na mchango wa taifa katika uchumi wa dunia. Akizungumza kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyowakutanisha zaidi ya wafanyabiashara 100 wakubwa wa mkoa wa Arusha, Mkurugenzi Mtendaji…

Read More

Ajibu ajifunga mwaka mmoja KMC

KIKOSI cha KMC kinachonolewa kwa sasa na kocha wa zamani wa Taifa Stars na Yanga, Marcio Maximo, kimezidi kuimarishwa katika eneo la ushambuliaji baada ya kumsajili kwa mkataba wa mwaka mmoja, Ibrahim Ajibu aliyekuwa akiitumikia Dododma Jiji. Kiungo mshambuliaji huyo wa zamani wa Simba, Yanga, Azam na Singida Big Stars kwa msimu uliopita akiwa na…

Read More

Wabrazili wakoleza mzuka Mlandege | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Mlandege inayojiandaa na mechi za Kombe la Kagame 2025 na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Hassan Ramadhan Hamis amesema amefurahia kutua kwa nyota wanne wa kigeni kutoka nchi tofauti wakiwemo Wabrazili wawili, huku akiahidi kufanya vizuri kimataifa. Mlandege imewanasa beki wa kati Davi Nasciimento na kiungo mkabaji Vitor De Souza raia…

Read More

Bado Watatu – 15 | Mwanaspoti

“Nani ameleta taarifa hizo?”“Ni mwenyekiti wa mtaa huo.”“Polisi wameshakwenda?”“Wanajiandaa kuondoka.”“Kwaminchi ni kubwa, hilo tukio limetokea sehemu gani?”“Ametupa jina la mtaa na namba ya nyumba.”“Ni mtaa gani?” Polisi huyo alikuwa na kipande cha karatasi mkononi, akanisomea jina la mtaa huo na namba ya nyumba.“Hebu nipe hicho kikaratasi.” Polisi huyo akanipa kipande hicho cha karatasi. Baada ya…

Read More

Tanzania Prisons yamnyatia Chilunda | Mwanaspoti

WAKATI KMC ikielezwa huenda ikaachana na aliyekuwa nyota wa kikosi hicho, Shaaban Idd Chilunda, uongozi wa Tanzania Prisons upo katika mazungumzo na kambi ya mchezaji huyo, ili kuipata saini yake kwa msimu ujao wa 2025-26. Chilunda ni miongoni mwa nyota wanaotajwa huenda wakaachana na KMC kutokana na kutofikia makubaliano ya kusaini dili jipya, jambo linaloziingiza…

Read More

Morocco: Tatizo sio mastraika, ni umaliziaji tu

“KILIO kikubwa kwenye kikosi cha Taifa Stars ni wachezaji kushindwa kutumia nafasi, hii ni kuanzia mwanzo wa mashindano ya CHAN hadi tumefikia tamati,” ndivyo anavyosema kocha wa timu hiyo ya taifa ya Tanzania, Hemed Suleiman ‘Morocco’ alipozungumza na Mwanaspoti. Anasema: “Timu inajaribu kutengeneza nafasi lakini haiwezi kuzitumia, lakini mpira ni mchakato sio kitu cha kukifanyia…

Read More

Dube afichua siri ya kambi, amtaja Folz

KAMBI ya Yanga inayojiandaa na msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-26, imezidi kunoga kwa kocha Romain Folz kuendelea kuwapika mastaa wa timu hiyo, huku akikomalia mechi za kirafiki kujenga utimamu wa wachezaji wake, lakini nyota wa kikosi hicho Prince Dube amevunja ukimya na kuzungumzia vita ya namba kutokana na ongezeko la wachezaji wapya. Dube…

Read More