DKT SAMIA SULUHU KUANZIA ZIARA YA KAMPENI MKOANI TANGA SEPTEMBA 28,2025
-Kutua mkoani Tanga Septemba 28 kwa ajili ya Kampeni kwa muda wa siku tatu. -Wananchi watakiwa kujitokeza kwa wingi kumlaki. Na Oscar Assenga, TANGA MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia (CCM) Dkt Samia Suluhu anatarajiwa kuwasili Mkoani Tanga Septemba 28 mwaka huu na atapokelewa eneo la Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga jioni na atakuwa na ziara…