
WASIRA: TUSAHAU MCHAKATO WA UCHAGUZI, SASA TUUNGANE KUSAKA DOLA.
Na Mwandishi Wetu,Arusha MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena. Wsira ameyasema hayo Agosti 31,2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama hicho wakati wa kikao…