DK.SAMIA AANIKA MKAKATI WA KUUFANYA MKOA WA RUVUMA KUWA KITOVU CHA BIASHARA KWA UKANDA MIKOA YA KUSINI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Ruvuma MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema katika miaka mitano ijayo Serikali inakwenda kuufungua mkoa wa Ruvuma kuwa kitovu lakini pia ukanda mzima wa kusini (Ruvuma, Mtwara na Lindi) kuwa ukanda wa biashara. Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi wa wa Mji wa Songea mkoani Ruvuma…