Amuua kaka yake kisa ng’ombe wa mahari, sheria yachukua mkondo wake
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Tabora, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Bushesha Jimola, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua kaka yake, Juma Jimola kwa madai alimdhulumu ng’ombe 10 wa mahari waliotolewa kwa ajili ya binti yake. Aidha Mahakama hiyo imemuachia huru Maziku Kulwa, maarufu Mgenja aliyekuwa ameshtakiwa na Bushesha, baada ya kumkuta…