
Maporomoko yaua 1,000, mmoja anusurika Sudan
Watu 1,000 wamefariki dunia huku mmoja akiokolewa kufuatia maporomoko ya ardhi yaliotokea katika eneo la Darfur nchini Sudan. Maafa hayo yanatokea wakati Taifa hilo lkingia mwaka wa tatu wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yaliopekekea vifo vya maelfu ya watu na hali ngumu ya maisha na ukosefu wa usalama. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…