Jaji mstaafu, mawakili walinyooshea kidole Jeshi la Polisi
Dar es Salaam. Siku chache baada ya Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Robert Makaramba kukosoa kitendo cha askari wa Jeshi la Polisi kumshambulia wakili Deogratius Mahinyila katika Mahakama Kuu ya Tanzania, mawakili wameeleza kwamba kitendo hicho ni kuingilia uhuru wa Mahakama. Katika tukio hilo la Septemba 15, 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa…