TCB na Tiseza kuwezesha wawekezaji huduma za kifedha
Dar es Salaam. Wakati idadi ya mitaji na miradi inayosajiliwa nchini ikiongezeka kila siku, wawekezaji wametafutiwa namna ya kupata huduma za kifedha ili kurahisisha utekelezaji wa miradi hiyo. Hiyo ni baada ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (Tiseza) kuweka saini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yanayolenga…