KAMPUNI YA SARUJI TANGA YAWEKA HISTORIA KUTOA HISA STAHIKI ZENYE THAMANI KUBWA
Na Mwandishi Wetu OFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), CPA. Nicodemus Mkama ameipongeza kampuni ya Saruji Tanga kwa kuweka historia ya kuwa kampuni ya kwanza kutoa hisa stahiki zenye thamani kubwa kuliko zote zilizowahi kutolewa katika masoko ya mitaji hapa nchini. Ambapo thamani ya hisa hizo ni shilingi bilioni…