NMB yatoa fursa ya mkopo hadi Sh500 bilioni kwa mteja mmoja
Dar es Salaam. Benki ya NMB imesema ina uwezo wa kumkopesha mteja mmoja zaidi ya Sh500 bilioni kwa ajili ya kuendeleza shughuli za biashara na uzalishaji ikiwamo kilimo, mifugo, viwanda na madini, kutokana na ukuaji wa mtaji wake. Mikopo hiyo inalenga kuwasaidia wateja kuongeza uzalishaji na hutolewa kupitia suluhu mbalimbali za kifedha kulingana na mahitaji…